Nenda kokote Tanzania jina Muhimbili utalikuta sehemu moja tu, napo ni jijini Dar es Salaam. Si kama Kariakoo, Magomeni, Mbuyuni, Majengo na majina mengine kadhaa
Month: November 2024
Mwanamume mmoja kutoka Japan, Akihiko Kondo, anasherehekea mwaka wa sita wa ndoa yake na Mkewe wa kubuni, Hatsune Miku, ambaye ni mhusika maarufu katika Tamthilia
Morogoro. Watu wasiofahamika wamevunja na kuondoka na misalaba iliyowekwa kwenye makaburi ya Kola, mkoani Morogoro. Hatua hiyo imesababisha ndugu wa marehemu waliozikwa kwenye makaburi hayo
Dodoma. Mjadala wa mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026, umewafanya wabunge kuibua hoja kadhaa zinazolenga kuimarisha miundombinu ya intaneti,
Dar/Mikoani. Ukosefu wa elimu sahihi, gharama kubwa ya awali ya matumizi, uhaba wa malighafi na miundombinu kuwafikia ni baadhi ya changamoto zinazolalamikiwa na wananchi kuwa
Serikali kupitia Mamlaka ya udhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) imesema itaendelea kuweka mazingira mazuri katika matumizi ya Teknolojia na Tehama kwa lengo la kurahisisha Ununuzi
Washington. Wamarekani wanatarajia kupiga kura leo kukamilisha mbio za uchaguzi mkuu wa Taifa hilo lenye nguvu duniani zilizotanguliwa na kampeni za wagombea, Rais wa zamani,
Beki wa kushoto wa Simba, Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso (The Stallions), kinachojiandaa kucheza michezo miwili ya kufuzu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Waziri Mkuu wa
Wajasiriamali wa nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wametakiwa kuhakikisha wanakuwa wabunifu na kuongeza ujuzi ili kutengeneza bidhaa zenye ubora zaidi. Kauli hiyo