Na Mwandishi wetu, Mirerani MWENYEKITI mpya wa wachimbaji wa madini Mkoani Manyara (MAREMA) Elisha Nelson Mnyawi, amesema wachimbaji wanakabiliwa na ukosefu wa mitaji ya
Month: November 2024
KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi amekutana na Mheshimiwa Youssoufa Mohamed Ali,Waziri wa Ulinzi ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama
Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Mhandisi MaryPrisca Mahundi (Mb), amesema Serikali inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuboresha mawasiliano
Butiama. David Musuguri (104), aliyekuwa mkuu wa majeshi ya ulinzi amehitimisha safari ya maisha yake hapa duniani kwa jeneza lenye mwili wake kuzikwa nyumbani kwake,
Mwenyekiti wa mtandao wa wa Vitovu Tanzania (THN) Kiko Kiwanga Akizungumza na wadau mbali mbali wa bunifu wakati wa uzinduzi wa mtandao wa kuunganisha na
Mkurugenzi Mkuu wa MAMLAKA ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Dennis Simba, akizungumza katika kikao kazi na wahariri na waandishi wa vyombo ya
Mwanza. Siku nne tangu Jeshi la Polisi litoe taarifa kuwa kifo cha kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Remigius (52), mkazi wa
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Anamringi Macha. Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati Sherehe maalum ya Usiku wa Wadau Shupavu
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv MOHAMED Omar (64) na dada yake Nargis Omary (70) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakilabiliwa na mashtaka mawili
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Shindano maarufu la kusaka wenza, Hello Mr. Right! msimu wa sita, limezinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam, likiwahimiza vijana kuzingatia