Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali imeendelea kuboresha miundombu ya kutolea huduma za afya
Month: November 2024
Dodoma. Mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa baa maarufu jijini Dodoma ya ‘Chako ni Chako’, Honorath Makoi unatarajiwa kuzikwa kijijini kwao Kibosho, mkoani Kilimanjaro Alhamisi ya
NA ANDREW CHALE. MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango anatarajia kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Mashindano ya Mashirika ya Umma, Makampuni na Taasisi Binafsi
Katika wiki za hivi karibuni, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeripoti maambukizi kati ya 200 hadi 300 yaliyothibitishwa na maabara kila wiki, kulingana na shirika
Dodoma. Wabunge wameibana Serikali kuhusu madeni ya muda mrefu ya makandarasi na wazabuni wa chakula shuleni, huku yenyewe ikisema ulipaji wa madeni hayo unategemea upatikanaji
WAKALA wa Huduma ya Misitu Tanzania TFS imeandaa bonanza la michezo kwa lengo la kuwakutanisha watumishi mbalimbali kutoka katika kanda zote nane nchini kwa lengo
BAADA ya mapumziko ya siku 24 za kupisha kalenda ya FIFA kwenye michezo miwili ya kirafiki ambapo Twiga Stars ilicheza dhidi ya Morocco na Senegal,
Wakati huo huo jeshi la Israel limedai kuwa limemuuwa kamanda mmoja mkuu wa kundi la Hezbollah anayedaiwa kuhusika na mashambulizi ya makombora kusini mwa Lebanon.
Tanzania imetajwa kuwa kati ya mataifa 10 bora barani Afrika ambayo yana miundombinu bora zaidi ya barabara. Taarifa hizi zinakuja ikiwa Serikali ya Awamu
WINGA wa Bunda Queens, Nelly Kache amesema kama mambo ya usajili hayatakamilika hadi dirisha dogo basi atarejea kwao Kenya. Nyota huyo raia wa Kenya kabla