Halmashauri ya Wilaya ya Ifakara Mji iliyopo Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro imetenga zaidi ya shilingi Milioni mia Tisa kwa ajili ya mikopo ya asilimia
Month: November 2024
KIBOKO aliyehatarisha maisha ya watu katika Kijiji cha Ilungu Kata ya Nyigogo wilayani Magu mkoani Mwanza, ameuawa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania
KATIKA kuhakikisha TMA inafanya vizuri katika Ligi ya Championship msimu huu, kocha mkuu wa kikosi hicho, Maka Mwalwisi amesema mkakati uliopo kwenye benchi lao la
KLABU ya Mbeya City imeanzisha mpango mkakati wa kuhakikisha timu hiyo inarejea Ligi Kuu Bara msimu ujao kwa kuanzisha harambee inayoshirikisha wadau mbalimbali, itakayofanyika Novemba
MICHUANO ya Kombe la TCA kwa vijana wa umri wa chini ya miaka 19 iliwasha moto kwenye viwanja viwili jijini Dar es Salaam ambako timu
KOCHA wa Akademi ya AZOS ya nchini Sweden, Salim Soud amesema ingawa anafundisha nchi hiyo hayo, malengo yake ya baadaye ni kuzisaidia timu za Tanzania.
Mwenyekiti wa Ngome ya Wazee Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Yasin Mohamed Gumsani amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu Novemba 4, 2024 katika
MFUNGAJI wa bao pekee lililoitubulia Yanga katika Ligi Kuu, Gibril Sillah amefunguka namna bao hilo lilivyompa heshima, lakini akizidi kumfukuzia Stephane Aziz Ki katika mechi
KATIKA mfululizo wa makala iliyotokana na mahojiano maalumu kati ya Mwanaspoti na nyota wa zamani wa kimataifa wa Tanzania aliyewahi kuwika na klabu za Pamba,
Japo katika baadhi ya maeneo miti hiyo imeshakatwa, lakini baadhi imebaki ikiwamo ya mjini Bagamoyo, Tabora, Ujiji, Morogoro na maeneo mengineyo. Hii ni miti ya