USHINDI mtamu hasa unaposhinda kwa timu kubwa kama Yanga na hii imethibitishwa na kocha wa Azam FC, Rachid Taoussi aliyesema pointi tatu ilizopata timu hiyo
Month: November 2024
Maisha ni safari. Hivi ndivyo unaweza kumwelezea mtoto Antony Petro ambaye mwaka 2018 aliibua mijadala maeneo mbalimbali, hususan mitandaoni. Video vya Antony wakati huo akiwa
Dar es Salaam. Wakati mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa ukiwa katika hatua ya uteuzi wa wagombea, Chama cha ACT Wazalendo kimemtaka Rais Samia
KOCHA wa Singida Black Stars, Patrick Aussems ameonyesha kutoridhishwa na sare waliyoipata katika mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union na lengo
Dar es Salaam. Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, amepongeza juhudi za wadau wa afya nchini kwa kufanikisha uchangishaji wa Sh2.71 bilioni kwa
MWENYEKITI wa Chama cha Soka Mkoa wa Mwanza (MZFA), Vedastus Lufano ametetea nafasi hiyo, baada ya kupita bila kupingwa akipigiwa kura za ndio na wajumbe
Arusha. Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dodoma imewaachia huru washtakiwa saba ambao ni sungusungu, waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya mwanakijiji aliyedaiwa kuwa mchawi.
MTANZANIA Hebron Shedrack anayekipiga Sisli Yeditepe inayoshiriki Ligi ya Walemavu nchini Uturuki amesema hajaondoka nchini hadi sasa kutokana na changamoto ya kibali cha kusafiria. Nyota
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amekutana na Mhe. Youssoufa Mohamed Ali, Katibu Mkuu wa Convention for the Renewal
WANA fainali ya Ngao ya Jamii kwa wanawake, Yanga Princess, wamedhamiria kufanya makubwa msimu huu ikiwamo kubeba taji la Ligi Kuu ya Wanawake kwa mara