Dar es Salaam. Watanzania wanaoishi nje ya nchi (Diaspora) sasa wataweza kutuma fedha moja kwa moja nchini, baada ya kuanzishwa kwa programu ya kifedha kwa
Month: November 2024
NA MWANDISHI WETU RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete, amekiri kuvutiwa na mchango mkubwa wa Benki ya NMB wa Sh.
Dar es Salaam. Viongozi wa Serikali za mitaa hushughulikia masuala ya msingi yanayogusa maisha ya kila siku ya raia kama vile usalama, afya, elimu na
Unguja. Imeelezwa kuwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) inakabiliwa na tatizo la kiwango kidogo cha umeme kwenye laini zinazotoka Gridi ya Taifa ya Tanzania Bara.
Marekani. Zikiwa zimebaki siku mbili kufanyika uchaguzi wa Marekani, Novemba 5, 2024, wagombea urais, Donald Trump wa Republican na Kamala Harris wa Democrats, wameendelea na
Baadhi ya ndoa huvunjika haraka ilhali nyingine huonekana kuchukua muda mrefu. Haijalishi kisababishi ni nini, ndoa ikivunjika unaweza kuelemewa na hisia mbalimbali. Hisia kama vile,
Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Ltd (SBL) waishauri serikali kuzingatia kuimairsha mazingira wezeshi ya sera na kodi ili kukuza mapato ya serikali na
London. Mwanamke mweusi, Kemi Badenoch ameshinda kinyang’anyiro cha kuwa kiongozi mpya wa chama cha Conservative cha Uingereza, akiahidi kukirejesha katika misingi yake ya uanzilishi na
Jukwaa la Miji Duniani ni nini? Kongamano la Dunia la Mijini (WUF), mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu maendeleo endelevu ya miji, lilianzishwa mwaka
NYOTA wa Tanzania, Maimuna Kaimu ‘Mynaco’ ameendelea kuwa nguzo imara kwenye eneo la kiungo la Zed FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake wa Misri. Ni