Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kitaifa ya siku tatu nchini Cuba kuanzia Novemba 6, 2024. Jana Jumamosi,
Month: November 2024
Dar es Salaam. Hitilafu iliyotokea katika mfumo ya uendeshaji wa treni ya umeme imesababisha mvurugiko wa ratiba za treni hiyo jambo ambalo limewafanya baadhi ya
Dar es Salaam. Huenda siku chache zijazo, gari ndogo za abiria aina ya ‘Hiace’ zikaondolewa kabisa katikati ya miji mikubwa yote kufuatia utekelezaji wa mkakati
Picha ya mwanamke wa kiasili katika Mkutano Mkuu katika kikao cha COP16 ambacho kilichukua uamuzi wa kihistoria juu ya watu wa kiasili na jumuiya za
STRAIKA George Mpole ni kama amekata tamaa mapema kutokana na matokeo mabaya iliyonayo timu ya Pamba Jiji ambayo ndio pekee haijaonja ushindi Ligi Kuu Bara
LICHA ya kuanza kwa kuchechemea katika Ligi ya Championship, Geita Gold imejipata na gari limewaka huku winga wa timu hiyo, Yusuph Mhilu akitoboa siri kuwa
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids, ameshtuka kutokana na ugumu aliokumbana nao katika mechi za ugenini hasa kwenye viwanja vigumu na kisha kupanga mikakati mipya ya
Dar es Salaam. Ukipata mshahara wako wa kwanza utautumia kufanya nini? Ni swali ambalo majibu yake yanatafsiri mengi kuhusu mitazamo ya vijana juu ya maisha
Ni watu wangapi wanatamani wangekuwa matajiri, kwa wale ambao si matajiri au ni matajiri lakini siyo matajiri wakubwa? Wangapi wanatamani kuoa au kuolewa na watu
Dodoma. Sakata la utoro wa mawaziri, naibu mawaziri na wabunge bungeni limewaibua wachambuzi wa masuala ya siasa baadhi wakirudisha mpira kwa Spika wa Bunge kutumia