Dar es Salaam. Ikiwa ni siku moja tangu taarifa ya kutoweka kwa Mkurugenzi wa Dar24 Media, Maclean Mwaijonga zisambae katika mitandao ya kijamii, Jeshi la
Month: November 2024
Wananchi katika Halmashauri ya wilaya ya Geita wameshauliwa kula chakula kwa kuzingatia Makundi sita ya Lishe Bora ili kuepukana na Magonjwa yasiyo ya Kuambukiza.
Na Mwandishi Wetu Michuzi TV KAIMU Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ilala, Tabu Shaibu, amewashauri wanawake wote kuchangamkia fursa zinazojitokeza ili ziwasaidie kujiinua kiuchumi
KOCHA Mkuu wa Al Hilal ya Sudan, Florent Ibenge amesema, kitendo cha kuwa kundi moja na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga katika hatua
Kwa wanaofuatilia rubaa za kimataifa watakuwa wanajua msiba mzito uliotokea kaya ya jirani. Si wamemfyatua mtukufu mpendwa, msemahovyo, sorry, ‘msemakweli’ makamu wa rahis, kiasi cha
Sauti ya mtoto Maliki Hashimu (6), mkazi wa Goba, Jijini Dar es Salaam imerejea kwa 100% baada ya kukamilisha hatua zote za matibabu
LICHA ya Pamba Jiji kushindwa kukusanya pointi za kutosha katika mechi kumi ilizocheza hadi sasa katika Ligi Kuu, kocha wa Pamba Jiji, Fred Felix ‘Minziro’
Dar es Salaam. Vigogo wawili wa chama cha United Peoples Democratic Party (UPDP), waliofungua kesi mahakamani kutaka vigogo wengine wawili wa chama hicho waachie ngazi
Na Mwamvua Mwinyi,Pwani 2, Novemba,2024 Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ameeleza mkoa huo utaendelea kusimamia maono ya Rais Dkt. Samia Suluhu
YANGA Princess imepeleka malalamiko Shirikisho la Soka (TFF) baada ya kugundua Alliance Girls imemtumia mchezaji wa kigeni kinyume na sheria. Oktoba 12 Uwanja wa Nyamagana