Benki ya Dunia imeonesha kuridhishwa na hatua za utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa majengo ya kisasa pamoja na kituo cha kuendeleza ubunifu (incubation center)
Month: November 2024
Unguja. Wakati Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi anaingia madarakani alijipambanua kujikita katika sera ya uchumi wa buluu na kuunda wizara maalumu itakayosimamia eneo hilo.
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amefanya ziara ya kutembelea eneo la ujenzi wa Kituo mama
Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) imesaini mikataba 93 yenye jumla ya Shilingi Bilioni 868.56 kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya dharura ya barabara
Ushirikishwaji na Ujumuisishwaji wa Wanawake na Wenye Ulemavu Wasisitizwa Kuongeza Kasi ya Maendeleo
Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua rasmi Ripoti yake ya Uendelevu ya 2024 yenye kaulimbiu ‘Kusimamia Ujumuishwaji na Ushirikishwaji’, mnamo Oktoba 31, 2024. Ripoti
Oktoba 17, 2024, ilikuwa Alhamisi. Zilikuwa saa za mshawasha Kenya. Shauri la kumng’oa Naibu Rais Rigathi Gachagua, lilifikia hatua ya uamuzi kwenye Baraza la Seneti.
*Yajivunia kukamilika kwa miradi 354 washukuru msukumo Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan Na Chalila Kibuda,Michuzi Tv MFUKO wa Taifa wa Maji ( NWF) imesema kuwa tangu
Katika jitihada za kuboresha upatikanaji wa haki kisheria, Mahakama imefanya maboresho ya kanuni ambazo zimerahisisha mchakato wa kupata haki kwa wananchi, hususan kwa wajasiriamali wadogo.
Dar es Salaam. Serikali imesema ipo tayari kushirikiana na Chama cha Makandarasi Wanawake Tanzania (TWCA) pamoja na Bodi ya Usajili wa Wakandarasi (CRB) ili kuhakikisha
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akishiriki matukio mbalimbali wakati wa ratiba ya kutoa heshima za mwisho kuaga mwili