PACOME atabaki Yanga kwa kuongeza mkataba mpya au ataondoka na kujiunga na timu nyingine ndivyo tunavyojiuliza hapa kijiweni. Jamaa mmoja kibabe anatamba kuwa Pacome hawezi
Month: November 2024
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amesema katika kumuenzi Jenerali Mstaafu David Musuguri inapaswa Watanzania wote yaani askari
Gaborone. Rais wa Botswana, Mokgweetsi Masisi amekubali kushindwa kwenye uchaguzi wa Oktoba 30, 2024 baada ya matokeo ya awali kuonyesha kuwa chama chake cha Botswana
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania ( TANAPA) limeendelea kuwahimiza watanzania kushiriki katika Kupanda Mlima Kilimanjaro kwenye Kampeni ya TWENZETU
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga, kesho Jumamosi watakuwa mwenyeji wa Azam katika mwendelezo wa ligi hiyo mchezo ukipigwa Uwanja wa Azam Complex, Dar
SHULE ya St. Anne Marie Academy ya Mbezi Kimara kwa Msuguri jijini Dar es Salaam, imeendelea kufanya maajabu kwenye mitihani ya darasa la saba
Dar es Salaam. Kila wakati wa uchaguzi kaulimbiu za kisiasa hushika kasi, wagombea hutoa ahadi na wapigakura wengi hujikuta kwenye mtihani wa kufanya uamuzi. Ingawa
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Slaam Mhe Albert Chalamila leo Novemba 01,2024 ameungana na vingozi mbalimbali pamoja na mamia ya wakazi wa Mkoa
Kindiki ameapishwa rasmi Ijumaa(01.11.2024) kuwa naibu wa rais wa tatu baada ya Rigathi Gachagua kutimuliwa katikati ya mwezi Oktoba kwa makosa ya ufisadi, kukiuka katiba
Dar es Salaam. Wakati takwimu zinaonyesha kuna ongezeko la wanaougua magonjwa ya akili nchini, hali ya upatikanaji wa dawa kwa kundi hilo bado ni changamoto