Uchaguzi wa Rais wa Marekani unatarajiwa kufanyika Novemba 5, 2024, Zikiwa zimesalia wiki chache tu, kinyang’anyiro kati ya wagombea wawili wakuu, Kamala Harris wa Chama
Month: November 2024
Nairobi. Hatimaye Profesa Kithure Kindiki ameapishwa kuwa Naibu Rais mpya wa Kenya mbele Jaji Mkuu Martha Koome, akichukua nafasi ya Rigathi Gachagua, aliyeondolewa madarakani na
Katika urushaji wa matangazo ya kidigitali, wajasiriamali wa Marekani, Adam Curry na John Dvorak, kuanzia Oktoba 16, 2007, walianzisha programu ya vichekesho vyenye kujadili hali
WAJUMBE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mtaa wa Chinyoya Kata ya Kilimani Wilaya ya Dodoma Mjini, Jijini Dodoma wamemkata Mgombea aliyeteuliwa na chama
Dar es Salaam. Oktoba 11, Tanzania ilipoungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha siku ya mtoto wa kike, ilielezwa kuwa kundi hilo liko kwenye hatari kubwa
Bomu lenye nguvu lililowekwa kwenye pikipiki kando ya barabara lililipuka karibu na gari lililokuwa limewabeba maafisa wa polisi kusini magharibi mwa Pakistani siku ya Ijumaa,
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais -Mipango na Maendeleo, Prof. Kitila Mkumbo, leo tarehe 01 Novemba 2024 amewasilisha mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa
Shabnam Mallick, Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa akikata utepe kufungua kapu lililobeba ripoti ya uendelevu ya Serengeti Breweries Ltd (SBL) kwenye shughuli
Katika makala haya ya mwisho ya uchambuzi wa kitabu cha tawasifu cha “Edward Moringe Sokoine: Maisha na Uongozi Wake,” tutaangazia namna ajali ya kiongozi huyo
KAMPUNI ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua rasmi Ripoti yake ya Uendelevu ya 2024 yenye kauli mbiu ‘Kusimamia Ujumuishwaji na Ushirikishwaji’, mnamo Oktoba31, 2024.