Dar es Salaam. Mwanazuoni maarufu nchini, Profesa Issa Shivji amessema ili Tanzania ipate viongozi bora wa kizazi kijacho, si lazima kuunda programu maalumu za kuwaandaa
Month: November 2024
Dar es Salaam. Siku moja baada ya Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango kuagiza ufanyike utafiti kubaini mzizi wa vijana wa kiume kuanzisha uhusiano wa
WAPIGAKURA nchini Botswana wamekikataa chama tawala cha muda mrefu cha nchi hiyo (BDP) katika matokeo ambayo yanaashiria tetemeko la ardhi la kisiasa katika taifa
Dar es Salaam. Mfuko wa Taifa wa Maji (NWF) hutumia Sh50 zinazokatwa kwenye kila lita ya mafuta kufadhili na kuendeleza miradi ya maji nchini na
Dar es Salaam. Tanzania ikiwa bado haina sera rasmi ya afya ya akili, wataalamu wa saikolojia tiba wametaja masuala ya kiuchumi na kijamii, kama vyanzo
Waziri wa Maji *Mh. Jumaa Aweso* jana amefanya ziara katika maeneo ya Miganga-Mkonze na Nkuhungu kuangalia hali ya upatikanaji wa maji Jijini Dodoma na kutoa
Ndoa mseto ni muunganiko kati ya Wakatoliki na waumini wa madhehebu mengine ya Kikristo kama Walutheri, Waanglikana au makanisa ya Kipentekoste. Pia, inaweza kuhusisha muumini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Corporation Bi. Alice Albright
Dar/Mikoani. Wakati wagonjwa wa afya ya akili wakiongezeka kila mwaka nchini, wataalamu wa saikolojia tiba wametaja viashiria vinavyoweza kumfanya mtu agundue kuwa tayari anaanza kupata
Dar es Salaam. Sasa ni rasmi kwamba mkataba wa ununuzi wa umeme (PPA) kati ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na Songas umemalizika rasmi jana