Dar es Salaam. Kukosekana kwa fedha kumetajwa kuwa moja ya sababu ya mipango mikakati mingi inayoanzishwa katika ngazi ya kitaifa na kidunia kushindwa kutekelezeka kikamilifu.
Month: November 2024
SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limewataka wamiliki na wadau wa usafiri wa majini kuepuka usafirishaji holela wa mizigo na abiria katika kipindi
Ruangwa. Mkazi wa Mitope, Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, Justin Galus (33) ameuawa na watu wasiojulikana kisha mwili wake kutelekezwa kwenye bustani za kilimo cha
Kituo cha Merida-Teya cha Treni ya Maya, katika jimbo la Yucatan kusini mashariki mwa Mexico. Stesheni hujaa treni inapofika, lakini husalia tupu wakati mwingi. Credit:
USHINDI wa mechi mbili dhidi ya Sudan na Guinea umeipaisha Tanzania kwenye viwango vya ubora vinavyotolewa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA). Stars ilikutana
Hai. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro kimeeleza kushangazwa na Mgombea wake katika Kijiji cha Useri, Kata ya Machame Narumu,
Tabora United ikiwa kwenye Uwanja wa KMC Complex imeendeleza moto wake wa ushindi baada ya kuichapa KMC mabao 2-0. Mbali na ushindi wa KMC, JKT
Dar es Salaam. Mahakama ya Juu ya Ontario, Canada imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na wakazi wa Tanzania waliokuwa wakilalamikia ukiukwaji wa haki za binadamu unaodaiwa
CHAMA cha upinzani nchini Namibia kimeomba zoezi la kuhesabu kura lisitishwe baada ya uchaguzi wa taifa kukabiliwa na changamoto za kiufundi huju upigaji kura
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ametaja mikakati ya kuhakikisha kuwa Tanzania inakuwa na nishati safi kwa lengo la kukabiliana na mabadiliko ya tabia