ARSENAL VS MAN UNITED MECHI YA WAKUBWA

MCHEZO kati ya klabu ya Arsenal dhidi ya Manchester United ni mchezo wenye historia kubwa kwenye soka la Uingereza, Ambapo leo utakwenda kuchezwa pale katika dimba la Emirates na upande wa wabashiri wanaweza kunyakua mkwanja kupitia Meridianbet kwa kubashiri mchezo huu mkali.

Arsenal leo watakua nyumbani kuikaribisha Man United katika uwanja wao wa nyumbani ambapo washika mitutu wa London wakipewa nafasi nzuri zaidi ya kushinda mchezo huo, Huku Man United nao wakiwa si haba kwani mpaka sasa kwenye michezo yao saba ya mwisho hawajafungwa.
Vijana wa Mikel Arteta wameshinda michezo mitatu mfululizo ya mwisho kwenye ligi kuu ya Uingereza waliyokutana na Man United, Hivo swali ni kua leo wataendelea walipoishia au Man United wataweza kufuta uteja ambao wamekua nao michezo mitatu iliyopita.
Mchezo huu umepewa Odds nono sana pale Meridianbet hivo unaweza kuweka mkwanja wako kwa timu yeyote kati ya hizi na ukaondoka na mkwanja wa kutosha kwenye mchezo huu ambao umeibeba Jumatano ya leo.


Bashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko mahala pengine, Leo ambapo ligi kuu ya Uingereza itapigwa unaweza kushinda mkwanja wa kumwaga kupitia michezo ambayo itapigwa.
Leo ligi kuu ya Uingereza itapigwa michezo mingine mikali ambapo Manchester City watakipiga Vs Nottingham Forest, Newcastle Vs Liverpool, Southampton Vs Chelsea kule Hispania Athletic Bilbao wataikaribisha Real Madrid katika mchezo wa ligi kuu nchini humo.

Related Posts