Alhamisi ya leo mechi mbalimbali zinaendelea ambapo nafasi ya wewe kuondoka na ushindi wa pointi 3 ni lazima. Tengeneza jamvi lako la ushindi leo na utusue mapene ya maana.
Tukianza na EPL leo hii kuna mechi mbili za hela ambapo Fulham baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya Brighton ambaye naye pia alitoa sare akiwa nyumbani. Tofauti ya pointi kati yao ni 4 huku mara ya mwisho kukutana, Brighton alipigika. Je leo hii kwa ODDS 2.27 kwa 3.05. Jisajili hapa.
Wakati mechi nyingine ni hii ya AFC Bournemouth dhidi ya Tottenham Spurs ambao walilazimishwa sare wakiwa nyumbani kwao. Mwenyeji ametoka kutoa dozi nzito mechi yake iliyopita huku mabingwa wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wakimpendelea mwenyeji kushinda mechi ya leo kwa ODDS 2.40 kwa 2.80. Je wewe unampa nani?. Suka jamvi lako hapa.
ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet leo?. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Pia kule Hispania kutakuwa na michezo ya COPA DEL REY ambayo itaendelea kwa hatua ya 2 ambapo CA Osasuna atakuwa mgeni wa AD Ceuta ambao wanacheza kule Laliga 2 ambao hawapewi nafasi ya kushinda kwa ODDS 5.80 kwa 1.57. Beti yako unampa nani ashinde leo hii?. Tengeneza jamvi hapa.
Pia mechi ya pesa nyingine ni hii ya Getafe ambaye atasafiri kukipiga dhidi ya Orihuela CF ambaye anakipiga kule Segunda Division na anashika nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ligi yao, wakati mgeni yeye yupo nafasi ya 17 kwenye ligi. ODDS za mechi hii ni 9.20 kwa 1.28. Jisajili hapa.
Diego Simeone na Atletico Madrid yake watakuwa ugenini pia dhidi ya CP Casereno Sad ambao wapo kule Segunda Division na wapo nafasi ya 5 wakati Atletico wao wapo nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi huku Meridianbet wakimpa nafasi ya kushinda leo kwa ODDS 1.15 kwa 14. Bashiri hapa.
Kule Italia kuna COPPA ITALIA raundi ya 16 kati Lazio Rome vs Napoli ambapo timu hizi kwenye msimamo wa ligi wamepishana pointi 4 pekee ambapo mwenyeji yupo nafasi ya 5 na mgeni nafasi ya 1. Mara ya mwisho kukutana, walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuondoka na pointi 3? Mechi hii imepewa ODDS 2.40 kwa 3.00. Suka jamvi sasa.
Ligi kuu ya Tanzania, NBC pia kuna mchezo mmoja ambao utapigwa saa 1:00 usiku ambapo Kagera Sugar atakiwasha dhidi ya Tanzania Prisons ambapo mechi ya mwisho walipokutana walitoshana nguvu, huku kwenye msimamo wa ligi wakifatana na tofauti yao ni pointi 1 pekee. 1.98 kwa 4.20 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Pale Ureno kutakuwa na mchezo mmoja wa ligi PREMEIRA LIGA leo kati ya Moreirense FC dhidi ya Sporting CP ambao ndio vinara wa ligi wakiwa na pointi 33 huku mwenyeji wake akiwa na pointi 17 hadi sasa. Meridianbet anampa ushindi Sporting kwa ODDS 1.33 kwa 8.80. Wewe unampa nani leo akupe pesa?. Beti hapa.