Timu ya Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam ( DAWASA) wakiendelea na zoezi la kupanda mlima Kilimanjaro ikiwa ni shamrashamra ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara
Bendera ya Taifa inategemewa kufikishwa kilele cha Mlima Kilimanjaro Leo, Desemba 9, 2024.