Bashiri na Meridianbet mechi za UEFA leo

Hatimaye siku ya wewe kuondoka na pesa imefika kwani mechi za Ligi ya mabingwa Ulaya leo hii zinaendelea ambapo ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa.

Mapema kabisa leo hii saa 2:45 usiku, Liverpool atakuwa ugenini dhidi ya Girona ambao kwenye mechi zake 5 alizocheza ameshinda mechi moja pekee tuu. Jogoo yeye yupo nafasi ya kwanza baada ya kushinda mechi zote tano. Meridianbet wamempa Are Slot na vijana wake kushinda leo hii kwa ODDS 1.45 kwa 6.80. Je wewe beti yako unampa nani leo?. Jisajili hapa.

Pia muda huo huo Dinamo Zagreb dhidi ya Celtic kutoka kule Scotland huku tofauti ya pointi kati yao ni 1 pekee. Kila timu inahitaji ushindi leo huu ambapo mechi hii imepewa ODDS 3.70 kwa 1.99. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa ni mwaka 2014 ambapo mwenyeji aliibuka na ushindi. Je leo hii mgeni anaweza kulipa kisasi?. Bashiri hapa.

Nao Real Madrid watakuwa ugenini leo kusaka pointi 3 dhidi ya Atalanta ambao hawajapoteza hata mechi moja hadi sasa wakiwa na pointi zao 11 huku wakiwa hawapewi nafasi ya kushinda leo. Ancelotti na vijana wake wana pointi 6 kwenye mechi 5 ambazo wamecheza. Je Bingwa huyu mara nyingi wa UEFA atafanya nini leo katika dimba la Gewiss?. 2.65 kwa 2.55 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

UEFA hii imekuja na ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 ndani ya Meridianbet. Pia unaweza ukacheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Kule Ujerumani, RB Leipzig ambaye mpaka sasa hajashinda mechi yoyote, atamkaribisha kwake Aston Villa ambaye ana pointi 10 hadi sasa akishinda mechi zake 3 kwenye 5 alizocheza. Mara ya mwisho walikutana kwenye mechi ya kirafiki na RB alipigika. Je leo hii mwenyeji atapata ushindi wake wa kwanza?. Beti mechi hii yenye ODDS 2.60 kwa 2.70. Jisajili hapa.

Mechi nyingine kali ni hii ya Stade Brest 29 dhidi ya PSV kutoka Uholanzi huku tofauti ya pointi kati yao ni 2 pekee huku mwenyeji akiwa nafasi ya 11 na mgeni wake nafasi ya 18. Mabingwa wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda Mholanzi kwa ODDS ya 1.78 kwa 4.50. Wewe beti yako unampa nani leo?. Bashiri hapa.

Na pale BayArena, kutakuwa na mtanange mkali kabisa kati ya Bayer Leverkusen dhidi ya Inter Milan ambao wapo nafasi ya 2 na mwenyeji yupo nafasi ya 6. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa kwenye Europa League 2020 na Inter alishinda. Je Alonso anaweza kulipa kisasi leo?. Mechi hii ina ODDS 2.30 kwa 3.15. Jisajili hapa.

Nao Club Brugge watakuwa uso kwa uso dhidi ya Sporting Lisbon ambao kwenye ligi mechi mbili wamepoteza mfululizo. Mwenyeji ameshinda mechi 2 hadi sasa, wakati kwa upande wa mgeni yeye amehsinda mechi 3 na Meridianbet wamemuamini Sporting ndiye anayeibuka bingwa leo kwa ODDS 2.38 kwa 2.90. Wewe unampa nani?. Tengeneza jamvi hapa.

FC Salzburg atamualika kwake PSG ya Luis Enrique ambao wana pointi 4 pekee hadi sasa wakati kwa upande wa mwenyeji wao 3 tuu. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa ni 2011 ambapo Paris alipigika. Je leo hii ataweza kulipa kisasi? Mechi hii imepewa ODDS 8.40 kwa 1.33. Bashiri hapa.

About The Author

Related Posts