Picha:yaliyojiri kwenye utolewaji wa Tuzo za Sekta ya Ujenzi Afrika Mashariki

Baadhi ya picha za matukio mbalimbali ya kilichojiri katika sherehe ya utolewaji wa Tuzo za Sekta ya Ujenzi Afrika Mashariki (@eabcawards) iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar Es Salaam ambapo Washindi takribani 35 wa msimu wa tatu wa Tuzo hizo walikabidhiwa Tuzo kutambua mchango wao katika sekta ya ujenzi Afrika Mashariki.

Tuzo hizo zimetolewa na The Chamber of Contruction and Infrastructure of Tanzania, Shirika linalojishughulisha na kuongeza thamani katika mtandao wa Wadau wa sekta ya ujenzi na miundombinu Nchini Tanzania @ccit_official ambao wanapatikana katika Ofisi zao zilizopo Mwanga Tower, Dar es salaam.

 

Related Posts