KAMANDA SENGA ʼALA NONDOʼ SHAHADA YA UZAMILI KATIKA STADI ZA AMANI NA USALAMA


 

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga ni miongoni mwa wahitimu wa Chuo Kikuu cha Uhasibu Arusha (IAA) katika mahafali ya 26 ya chuo hicho yaliofanyika Disemba 13, 2024 katika Ukumbi wa Hotel ya Ngurdoto uliyopo Jijini Arusha.

Kamanda Senga ametunukiwa Shahada ya Uzamili katika Stadi za Amani na Usalama

Related Posts