Wikendi nyingine ya kuibuka na ushindi wa uhakika ndani ya Meridianbet umefika ambapo mechi kibao zinapigwa leo. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa.
Macho yangu yameanza kuimulika ligi kuu ya Uingereza, yaani EPL ambapo mechi za pesa zinakupatia ushindi Brighton atakuwa mwenyeji wa Crystal Palace ambaye yupo nafasi ya 17 kwenye msimamo wa ligi akiwa na ushindi wa mechi 2 pekee. Mara ya mwisho timu hizi kukutana Brighton alishinda. Je leo hii kwa ODDS 1.90 kwa 4.00. Jisajili hapa.
Na mechi kubwa leo hii itakuwa ni Manchester Derby kati ya Manchester City vs Manchester United ambapo kila timu hii leo inahitaji pointi 3 baada ya kukosa kwenye mechi zao zilizopita. Meridianbet wanampa Pep Guardiola na vijana wake nafasi ya kushinda leo kwa ODDS 1.63 kwa 4.90. Bashiri hapa.
Jumapili ya leo ni ya kupiga mkwanja na Meridianbet kwani odds kubwa na mcahguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Vilevile Chelsea baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa Stamford Bridge kupepetana dhidi ya Brentford ambao wapo nafasi ya 10 huku msimu uliopita The Blues wakipata pointi 1 pekee kutoka kwa Nyuki. Je msimu huu chini ya Maresca watafanya nini?. 1.40 kwa 6.80 ndio ODDS za mechi hii. Tandika jamvi hapa.
Na mechi nyingine ni hii ya Tottenham Spurs ambaye atakuwa ugenini dhidi ya Southampton ambaye yupo mkiani kwenye msimamo wa ligi. Spurs ya Ange wanahitaji ushindi huu wa leo kwani wana mechi 3 mfululizo za ligi hawajashinda. 4.20 kwa 1.70 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
LALIGA pia inakupatia pesa za maana siku ya leo ambapo Atletico Madrid atamkaribisha kwake Getafe ambao wana pointi 16 kwenye ligi wakati wao wana pointi 35 kwenye msimamo na wakishinda watasogea hadi nafasi ya 2. Beti mechi hii yenye ODDS 1.43 kwa 8.80.
Wakati katika dimba la Mendizorroza Deportivo Alaves atakuwa akisaka ushindi dhidi ya Athletic Club ambao wanashikilia nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji anahitaji ushindi hii leo atoke nafasi ya 16. Je ataweza mbele ya Bilbao?. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 3.75 kwa 2.24. Jisajili hapa.
Vinara wa ligi FC Barcelona watakuwa wenyeji wa CD Leganes ambao wanashikilia nafasi ya 17 kwenye ligi. Vijana wa Hans Flick wanahitaji ushindi kujikita kileleni zaidi. Beti mechi hii na ODDS zao ni 1.15 kwa 18. Bashiri hapa.
Pia BUNDESLIGA kule Ujerumani kuna mechi za pesa ambapo FC Heidenheim atamualika kwake VFB Stuttgart ambao walipata ushindi kwenye mechi yao iliyopita. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 16 huku mechi ya mwisho kukutana mgeni alishinda. Je beti yako unampa nani leo?. Suka jamvi na mechi hii yenye ODDS 4.10 kwa 1.85.
Wakati Borussia Dortmund baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita, atamenyana dhidi ya Hoffenheim ambaye naye pia alitoa sare. Tofauti ya pointi kati yao ni 7 pekee huku mechi ya mwisho kukutana, Dortmund alipigika, Je leo hii atalipa kisasi?. Meridianbet wamipa mechi hii ODDS 1.40 kwa 7.40. Tandika jamvi lako hapa.
Huku mtanange mzito Ujerumani leo hii ni huu wa RB Leipzig dhidi ya Frankfurt ambapo mechi ya mwisho kukutana kwenye ligi walitoa sare. Tofauti yao ni pointi 3 pekee huku nafasi ya kuondoka bingwa leo akipewa RB kwa ODDS 2.20 kwa 3.15. Jisajili hapa.
Italia napo SERIE A leo kitawaka sana ambapo Bologna ataumana dhidi ya ACF Fiorentina ambaye yupo kwenye mbio za ubingwa akiwa nafasi ya 4 wakati kwa mwenyeji yeye yupo nafasi ya 8 pekee. Meridianbet wamempa nafasi ya kushinda yoyote kwa ODDS 2.75 kwa 2.75. Suka jamvi lako hapa.
Como 1907 ataumana dhidi ya AS Roma ambao wamekuwa hawana mwenendo mzuri wakiwa na pointi zao 12 huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 17. Roma kushinda mechi hii amepewa ODDS 2.15 kwa 3.65. Tengeneza jamvi hapa.
Na baadae kabisa AC Milan atakuwa nyumbani dhidi ya Genoa ambao wanashikilia nafasi ya 14 wakati vijana wa Fonseca wao wapo nafasi ya 7. Mechi ya mwisho kukutana walitoa sare. Je leo hii nani kuibuka na pointi 3?. 1.52 kwa 6.40 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri hapa.
LIGUE 1 kule Ufaransa ni ya moto sana leo Stade Rennes atakipiga dhidi ya Angers huku kila timu ikihitaji ushindi mzito leo hii. Mara ya mwisho kukutana, Rennes aliondoka na ushindi. Je leo hii kwa ODDS 1.65 kwa 5.60 nani kuondoka na ushindi leo. Beti hapa.
Mechi kali leo hii ni kati ya PSG vs Lyon ambapo vijana wa Luis Enrique ndio wanaongoza ligi wakiwa na pointi zao 34 wakati kwa mgeni yeye ana pointi zake 25. Pointi 3 ni muhimu kwa kila timu. Je beti yako unampa nani leo?. Mechi hii ina ODDS 1.33 kwa 8.20. Jisajili hapa.