Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa zawadi ya
tuzo ya mapambano dhidi ya rushwa iliyotolewa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, mara baada ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka
wa Viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano
cha Kimataifa cha Arusha (AICC) mkoani Arusha leo tarehe 16 Desemba 2024. anayekabidhi tuzo hiyo ni Naibu Waziri Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu