Maonesho ya Biashara na Uwekezaji yamefunguliwa rasmi mkoani Pwani

Maonesho ya Biashara na Uwekezaji yamefunguliwa rasmi siku ya leo na Waziri wa Viwanda na Biashara Dr. Seleman Jafo ambapo amesema kuanzia mwakani maonesho yatakuwa ya Kitaifa na yataandaliwa na Wizara na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani.

“Namuagiza Katibu Mkuu kuanzia sasa mainesho haya Biashara na Uwekezaji yawe maonesho ya Kitaifa yasimamiwe na Wizara ya Viwanda na Biashara kushirikiana na Mkoa wa Pwani” Jafo

“Kila mwaka yafanyike ndani ya Mkoa wa Pwani lazima tusonge mbele, Watu wakifanya vizuri tuwasifie tusingoje wafe, RC Pwani na Viongozi wako mnafanya vizuri endeleeni kuchapa kazi” Jafo

 

Related Posts