Na Mwandishi Wetu.
Dar es Salaam. Kampuni ya michezo ya kubashiri
ya LEONBET
imewazadia washindi wa kampeni ya Shangwe la Sikukuu zawadi kibao kwa kushiriki
kampeni hiyo.
Kampeni hiyo iliyoanza kwa kishindo, mpaka
sasa imeshuhudia wateja wa LEONBET wakishindia zawadi za simu janja au
Smartphone, Smart TV inchi 65, na Pikipiki mpya.
Mkazi wa Njombe, Freddy Mbilinyi na Juliuz
Ohimo wa Kigamboni jijini Dar es Salaam kila mmoja ameshinda pikipiki mpya.
Mbali ya pikipiki, pia mkazi wa Chamazi,
jijini Dar es Salaam, Ally Juma aliibuka mshindi wa Smart TV inchi 65 huku
washindi wengine 15 wakishinda zawadi ya simu janja au Smartphone.
“Washindi hawa ni ushahidi kuwa Shangwe La
Sikukuu siyo ndoto bali ni fursa halisi ya kushinda zawadi mbalimbali msimu huu
wa sikukuu ,” alisema meneja chapa wa kampuni ya LEONBET, Lizy Ngowi.
Lizy alisema kuwa kampeni hii ni mwanzo tu wa
msimu wa furaha kwani Shangwe La Sikukuu ndo kwanza linazidi kushika kasi, na
zawadi bado ni nyingi.
Alisema kuwa LEONBET imedhamiria kuhakikisha msimu huu wa
sikukuu wateja wao wanaburudika ipasavyo
mbali ya kushinda zawadi mbalimbali.
“Nawaomba wateja au mashabiki wa soka
kubashiri na LEONBET
ili kushinda zawadi nono. Kushiriki ni rahisi sana, ni kujisajili na LEONBET
kupitia tovuti
yetu na kuanza kubashiri kwenye mechi yoyote ama kucheza mchezo
wowote unaopenda na kujiweka katika nafasi ya kushinda zawadi zetu,” alisema
Lizy.
Alifafanua kuwa kila beti inakupa nafasi ya
kuingia kwenye droo ya ushindi papo hapo.
Kwa mujibu wa Lizy, zawadi bado zipo nyingi
kwani Shangwe La Sikukuu bado linaendelea.
“Usikubali msimu huu wa sikukuu upite
bila kujishindia zawadi nono. Jiunge na
familia ya
LEONBET leo na ufurahie msimu wa sikukuu kwa namna ya kipekee,”
alisema.
Alisema kuwa wateja wanaweza kutembelea tovuti
ya LEONBET kwa maelezo zaidi na kuanza
safari ya ushindi.