Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 19, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti
Day: December 18, 2024
Arusha. Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka Uangaze na Kampuni ya Utalii ya Leopard Tours kwa
Moshi. Mashindano ya tano ya kusaka kahawa bora Tanzania yameanza rasmi, hatua ambayo inatajwa kuwa muhimu na inayotarajiwa kuongeza upatikanaji wa bei nzuri kwa zao
Mbeya. Jumla ya Sh90 bilioni zinatarajiwa kukusanywa katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kupitia mpango wa Samia Infrastructure Bond, huku wananchi wakiomba fedha hizo
Tanga. Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) Kanda ya Kaskazini inajiandaa kutekeleza maagizo ya Serikali ya kuwaondoa wananchi waliovamia hifadhi za misitu na kufanya shughuli
Moshi. Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi limesitisha kwa muda utozaji wa vibali mbalimbali vya sherehe ndogo ndogo kama kumbukumbu za kuzaliwa,
Meridianbet kasino ya mtandaoni imepanga kukutajirisha Zaidi msimu huu wa kiangazi wakati ligi nyingi zikiwa zimeisha, endelea kupiga mtonyo kwa kucheza kasino ya mtandaoni na
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amevunja ukimya kuhusu kuendelea kugombea uenyekiti kwa mara nyingine akisema haitaji kuingia
Ni wakati mwingine wa kufurahia bonasi kibao kutoka Meridianbet kasino ya mtandaoni, haswa kwa wateja waaminifu ambao wamekuwa na Meridianbet kila siku ambapo sasa watapatiwa
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema ukaguzi na udhibiti wa rasimali za umma umechangia ukuaji wa uchumi kufikia wastani wa asilimia 7.4 mwaka