PROFESA. Ibrahim Lipumba, ametangazwa mshindi wa kiti cha uenyekiti ndani ya Chama cha Wananchi (CUF). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).
Washindani wake watatu, Hamad Masoud Hamad, Maftaha Nachuma na Willifred Lwakatare, wamegoma kuyatambua matokeo ya uchaguzi huo.
Soma MwanaHALISI baadaye.