MSHAMBULIAJI wa Pamba Jiji, George Mpole amesema mchezaji akiwa katika fomu ni rahisi kupata marupurupu kutoka kwa mashabiki wanaopenda soka, ambao wakifurahisha siyo wachoyo wa kutoa zawadi.