Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO DISEMBA 22,2024 About the author
Day: December 21, 2024
Macron alifanya ziara kifupi katika taifa hilo la Pembe ya Afrika kwa mazungumzo na Rais Ismail Omar Guelleh na kukutana na wanajeshi wa Ufaransa kabla
> CCM Yakemea viongozi wenye kujihusisha na vitendo vya rushwa pamoja na kukandamiza watu. ” Kwa mujibu wa ibara ya 16 inamtaja nani kiongozi, maana
Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. DENNIS L. LONDO (Mb.) amewataka watumishi wanaotoa
Dodoma. Watu watatu wamejeruhiwa kwa kukatwa kwa mapanga katika Mtaa wa Msangalalee Magharibi, Kata ya Dodoma Makulu na kikundi cha uhalifu cha watoto wenye umri
Mwenyekiti wa Chipkizi Chama Cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Morogoro Jeremia Kisena Mabuba amewataka wazazi na walezi kuwalinda watoto na vitendo vya ukatili hasa kipindi hiki
“Kamandi kuu inatangaza uteuzi wa Bw. Assaad Hassan al-Shibani kuwa waziri wa mambo ya nje katika serikali mpya ya Syria,” ilissema taarifa. “Alijiunga na mapinduzi
Songea. Stendi ya mabasi inayojengwa katika Kijiji cha Lundusi kilichopo Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, inatarajiwa kumaliza adha ya usafiri kwa wananchi walishio vijijini wanaolazimika
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu raia 48 wa Malawi kulipa faini ya Sh 500,000 au kwenda jela miezi sita kila mmoja
Dar es Salaam. Mlinzi, Abdallah Mtema (52) ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Ardhi, namna alivyolinda shamba lenye ukubwa wa ekari 20, mali ya aliyekuwa Askofu