Rais mteule Donald Trump ameahidi “kukomesha wazimu wa watu wa jinsia tofauti” katika siku ya kwanza ya urais wake, wakati Warepublican — wanaotarajiwa kudhibiti mabunge
Day: December 22, 2024
Unguja. Miradi mikubwa ya kimkakati visiwani Zanzibar inayotajwa kuwa na mchango kwa wananchi na Taifa kwa jumla, imeelezwa kuwa, ni alama ya kukumbukwa mwaka huu.
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu Jumapili aliahidi kulipiza kisasi dhidi ya waasi wa Huthi wa Yemen baada ya kurusha kombora kuelekea Tel Aviv, akionya kwamba
Moshi. Maaskofu wa madhehebu matatu tofauti, wameibuka na mambo 10 katika salamu zao za Krismasi 2024 huku suala la utekaji, kupotea kwa watu na mauaji
Rombo. Serikali imeanza utekelezaji wa usajili wa mwongozo wa watoto wenye ulemavu unaowapa nafasi wale wenye changamoto zaidi kufundishwa wakiwa nyumbani. Hayo yameelezwa leo Jumapili
Urusi imeshuhudia wimbi la majaribio ya matukio ya kuwashwa moto yakilenga mabenki,vituo vya biashara, ofisi za posta na majengo ya serikali. Matukio hayo yameonekana kufanyika
Kiongozi wa tume ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Syria aliyeko ziarani nchini humo amesema Jumapili kuwa kuna uwezekano wa kupata “ushahidi wa kutosha
MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)umekamilisha ujenzi wa Kituo cha Afya Upenja katika Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kazkazini Unguja, Visiwani Zanzibar. Kituo hicho
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Disemba 22,2024 WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa kwa mwaka 2024, mitaji ya uwekezaji wa kimataifa iliyoingia nchini
Serikali inaendelea kuchukua hatua mahususi kuhakikisha mazingira ya biashara changa na bunifu (Startups) kwa vijana kwa kuwa na sera itakayotoa mwongozo wa kukuza, kuendeleza