Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO DISEMBA 27,2024 About the author
Day: December 26, 2024
Rombo. Miili sita kati ya tisa ya watu waliofariki kwa ajali ya gari iliyohusisha basi la abiria la Ngasere na Toyota Noah, katika eneo la
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwa njia ya Simu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alipopiga simu kuzungumza
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe Mwanaidi Ali Khamis amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt.
Takwimu zikionyesha kuwa China ndiyo mbia namba moja wa biashara na uwekezaji nchini, kumekuwa na mchanganyiko wa mawazo juu ya wingi wa raia Taifa hilo
Malinyi. Wanakijiji wa Ngombo, wilayani Malinyi mkoani Morogoro wameilalamikia Serikali kwa kuanzisha oparesheni ya kuwaondoa katika kijiji hicho kupisha Pori la Akiba la Kilombero, bila
Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) imetupilia mbali rufaa ya Guinea dhidi ya Tanzania na hivyo kuipa uhakika Taifa Stars
Dar/ Mikoani. Wakati Watanzania wakiungana na Wakristo duniani kote kuadhimisha Sikukuu ya Krismasi hali ya amani imetawala nchini jana, huku tukio la mauaji ya mfugaji
Handeni. Unaweza kusema Desemba hii ni ya majonzi na simanzi kubwa kutokana na mfululizo wa ajali mbaya zilizotokea, zikiwamo zilizotokea jana wilayani Handeni Mkoa wa
Dodoma. Utata umegubika tukio la mauaji ya Graison Kenyenye (6), mtoto wa mfanyabiashara maarufu wa jijini Dodoma, Zainab Shaban maarufu Jojo. Graison aliuawa usiku wa