WAZIRI MKUU AMPIGIA RAIS SAMIA SIMU NA KUZUNGUMZA NA WADAU WA MCHEZO WA NGUMI KWENYE PAMBANO LA KNOCKOUT YA MAMA

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akizungumza kwa njia ya Simu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. Samia Suluhu Hassan alipopiga simu kuzungumza na wadau na
Mashabiki wa mchezo wa ngumi, wakati wa tukio maalum la pambano la ngumi
la ‘Knockout ya Mama’ linalofanyika katika ukumbi wa Super Dome, Masaki
jijini Dar es Salaam, Desemba 26, 2024


Related Posts