Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO DISEMBA 28,2024 About the author
Day: December 27, 2024
Arusha. Sakata la ‘upigaji’ wa Sh200 milioni zinazodaiwa kuchotwa kwenye akaunti ya Umoja wa Bodaboda Mkoa wa Arusha (Uboja) sasa kutua kwa Rais Samia Suluhu
Michezo Itakayoshiriki Mashindano ya DR. SAMIA / JUMBE HOLIDAY BONANZA yatakuwa na michezo mingi, ikiwemo mpira wa kikapu, bao, karata, drafti, msusi mwenye kasi zaidi,
Dar es Salaam. Wizara ya Afya nchini Tanzania imesema kati ya Januari Desemba 22, 2024 watu 11,703 wameugua ugonjwa wa kipindupindu na wengine 145 wamefariki
Dar es Salaam. Ili kukabiliana na gharama kubwa ya huduma ya dialisisi kwa wagonjwa wa figo, Serikali imeingiza nchini mashine mpya aina ya SWS 6000
Dar/Dodoma. Wakati likiripotiwa tukio la mtoto Graison Kanyenye (6), mkazi wa jijini Dodoma kuuawa akiwa ameachwa kwenye uangalizi wa dereva wa pikipiki maarufu bodaboda, angalizo
Haiti inakabiliwa na mzozo wa mambo mengi ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa ghasia za magenge, ukosefu wa utulivu wa kisiasa, kuhama kwa zaidi ya
Mbeya. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepiga marufuku na kuonya wazazi watakaoshindwa kuwadhibiti watoto wanaojihusisha na ulipuaji baruti kwenye mkesha wa kuaga mwaka 2024
Dodoma. Takribani wakazi 800 wa Mtaa wa Mwangaza jijini Dodoma, waliokuwa wakilazimika kununua ndoo moja ya maji kwa Sh500, sasa wameondokana na changamoto hiyo baada