Pata msisimko wa mashindano ya Expanse Slot Meridianbet

 

Mashindano ya Expanse Slot yanayofanywa na Meridianbet bado yanaendelea mpaka Desemba 31, 2024. Mashindano haya ni hususani kwa wateja na washiriki na wapenzi wote wa kubashiri kuweza kujinyakulia mkwanja mrefu katika harakati za kumaliza/ kufunga mwaka. Yaan unamaliza mwaka kwa kuibuka na kitita kutoka Meridianbet.

Promosheni hii maalum inapatikana kwa wachezaji wote waliosajiliwa kwenye tovuti na programu ya Meridianbet. Washiriki wanaweza kushiriki michezo ya kusisimua ya Expanse slot na kushindania zawadi za kuvutia.

Ili kushiriki mashindano haya, wachezaji wanapaswa kuwa na akaunti hai kwenye meridianbet.co.tz. Watumiaji wapya wanaweza kusajili akaunti kwa urahisi na kushiriki.

Kwa maelezo zaidi kuhusu mashindano haya, tembelea ukurasa wa promosheni kwenye tovuti ya Meridianbet.. Na Kama bado hujajisajili, USIJALI…. JISAJILI SASA.

Michezo ambayo itahusishwa kwenye shindano hili la mabingwa ni kama ifuatavyo Book of Eksimo, Book of Egypt, Fortune Farm, Sticky 777, Veni Vidi Vici, Forest Rock, Piggy Party, Battle for the Throne, na Bounty Hunters

Ikumbukwe hakutakua na mshindi mmoja tu wa Milioni taslimu kwakua hili ni shindano basi washindi watachukua kitita kama ifuatavyo

Mshindi nafasi ya 1- Tshs 1,000,000

Mshindi nafasi ya 2- Tshs 500,000

Mshindi nafasi ya 3 na 4- Tshs 250,000 kila mmoja

Mshindi nafasi ya 5- Tshs 100,000

Washindi hawataishia watano tu kwani wengine watakua wakipata mizinguko ya bure kwenye michezo mbalimbali ya kasino ambayo watakua wanacheza ambayo itawapa fursa ya kutengeneza maokoto ya kutosha.

Mbali na kucheza michezo mbalimbali ya kasino lakini pia Meridianbet wanakukumbusha usiisahau kubashiri michezo mbalimbali kwani ligi mbalimbali barani ulaya na dunia nzima zinaendelea karibu kila siku.

NB: Jisajiri na Meridianbet upate bonasi kibao na kufurahia ushindi kila dakika unapobashiri michezo mbalimbali ikiwa na odds kubwa.

Jisajili hapa

About The Author

Related Posts