Uvamizi huo unaoripotiwa kufanywa na jeshi la Israel, ulishuhudia baadhi ya maeneo ya hospitali hiyo yakiteketezwa na kuharibiwa vibaya, ikiwemo maabara, kitengo cha upasuaji na
Day: December 28, 2024
Na. Coletha Charles, DODOMA Wananchi wa Kata ya Mnadani Halmashauri ya Jiji la Dodoma walifanya usafi wa mazingira mita tano kuzunguka maeneo yao ya makazi
Wananchi wa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wameendelea kunufaika na matunda ya serikali ya awamu ya sita kwa kukabidhiwa vyombo vya usafiri ikiwemo piki piki
Pia ilitaja ongezeko la magonjwa ya mfumo wa kupumua, yanayochangiwa na uhaba wa joto, kambi zilizojaa watu na miundombinu iliyoharibika. “Kuna ongezeko kubwa linaloendelea la
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO DISEMBA 29,2024 About the author
Rais wa Urusi Vladimir Putin siku ya Jumamosi alimpigia simu Rais wa Azerbaijan Ilham Aliyev kuhusu ajali ya ndege ya Azerbaijan Airlines iliyotokea wiki hii
Dua Lipa amezua gumzo za shangwe kwenye sherehe ya Krismasi baada ya kutangaza kuwa amechumbiwa Mwimbaji huyo wa Radical Optimism alienda kwenye Instagram yake kuonesha
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia dereva wa lori la mafuta, Jackson Kashebo (45), mkazi wa Mbagala, mkoani Dar es Saalam
Arumeru. Ni majonzi, aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu katika Ofisi ya Hazina, Amos Nnko na binti yake Maureen wakizikwa. Nnko na Maureen
Gaza. Jeshi la Israel linadaiwa kumkamata Mkurugenzi wa Hospitali ya Kamal, Adwan iliyopo eneo la Gaza nchini Palestina, Dk Abu Safiya na wafanyakazi kadhaa wa