Promosheni ya kalenda ya mwaka inakupa mizawadi kabambe

Promosheni ya kibabe inayoendelea mjini kwasasa ni moja tu ambayo inafahamika kama Kalenda ya Mwaka, Promosheni hii inadumu kwa muda wa mwezi mmoja ambapo itakua ikitoa zawadi kila siku katika siku saba za wiki.

Kwakua kila siku promosheni hii itakua inatoa nafasi ya wachezaji kushinda zawadi ambapo kila siku itakua na mchezo wake wa kasino ambao umewekwa ili kuhakikisha watu wanaucheza na kujishindia zawadi na bonasi mbalimbali.

Ikumbukwe Promosheni hii imeanza tarehe 20 mwezi 12 2024 na inatarajiwa kumalizika tarehe 20 mwezi 1 2025, Kwani promosheni hii itadumu kwa muda wa mwezi mmoja kama ilivyoelezwa hapo mwanzo.

Kama ilivyo kawaida promosheni wote ambao wataruhusiwa kushiriki promosheni hii ni wale wote ambao wamejisajili kupitia tovuti ya Meridianbet, Huku Promosheni mshiriki ataruhisiwa kushiriki kupitia akaunti moja pekee.

Zawadi na bonasi zinashindwa kila siku katika kipindi cha promosheni kupitia michezo mbalimbali kwa mfano tarehe 8 ya mwezi wa kwanza Jumatatu mchezo wa kasino wa Aviator ndio utatumika kwa washiriki na utatoa zawadi kwa washiriki na hiyo inaendelea kila siku ambayo promosheni iakuepo.

Mbali na kucheza michezo mbalimbali ya kasino lakini pia Meridianbet wanakukumbusha usiisahau kubashiri michezo mbalimbali kwani ligi mbalimbali barani ulaya na dunia nzima zinaendelea karibu kila siku.

NB:Jisajiri na Meridianbet upate bonasi kibao na kufurahia ushindi kila dakika unapobashiri michezo mbalimbali ikiwa na odds kubwa. Jisajili hapa.

About The Author

Related Posts