Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla amewataka Maafisa na Wapiganaji wa Vikosi vya SMZ kuwa wazalendo, kufanya kazi kwa kufuata maadili
Month: December 2024
KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum amekata mzizi fitna kuhusu maneno yanayoendelea kusemwa kwamba huenda akatimikia Simba, akifunguka kuwa kama ataondoka anapocheza sasa basi hawezi
Mwanasiasa huyo wa chama cha Democratic aliishi muda mrefu zaidi kuliko rais yeyote katika historia ya Marekani, akihudumu kwa muhula mmoja kati ya 1977 na
News Njombe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amechangia Shilingili Milioni 35 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa kanisa la Anglikana
MWENYEKITI wa jumuiya ya Umoja wa wanawake Tanzania ambae pia ni Mjumbe wa kamati kuu ya CCM Taifa Mary Chatanda amepongeza jitihada kubwa zinazofanywa na
Shinyanga. Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa zawadi ya chakula na vinywaji kwa watoto wenye mahitaji maalumu katika kituo cha Buhangija kilichopo Halmashauri ya Manispaa ya
ALIYEKUWA Mwanasheria Mkuu (AG) wa Serikali, Frederick Werema amefariki dunia leo, tarehe 30/12/2024 katika Hospital ya Muhimbili. Taarifa za kifo chake zimetolewa leo na
Unguja. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar (ZDCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama imekamata kilo 798.89 za dawa
Na Mwandishi Wetu CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimepongeza mchango mkubwa unaotolewa na Mkurugenzi wa shule za Tusiime za Tabata Sanene jijini Dar es Salaam, Dk.
Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jatu PLC, Peter Gasaya (33), anayekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka mawili, likiwemo la kujipatia