Shinyanga. Mkazi wa Mtaa Dome Kata ya Ndembezi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga mkoani humo, Leah George (40) anadaiwa kusombwa na maji alipokuwa akivuka mto
Month: December 2024

Dar es Salaam. Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahimu Juma amesema mashauri ya mirathi yanagusa uchumi mkubwa, akibainisha kuwa katika Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki

TANZANIA imeandika historia kubwa baada ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Arusha Science kushinda tuzo nne za heshima katika mashindano ya kimataifa ya Ufanisi

Dar es Salaam. Tanzania inahitaji viongozi waliobobea, wasimamizi na maofisa wa kuthibiti ubora wa shule ili kuhakikisha matumizi sahihi ya rasilimali chache zilizopo na utoaji

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Hassan Abbasi ameelekeza kuendelea kwa matumizi ya teknolojia mbalimbali katika ulinzi wa rasilimali ya wanyamapori.

Songea. Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limewaonya wamiliki wa migodi ya makaa ya mawe mkoani Ruvuma wanaokiuka sheria na utaratibu

Na; Hughes Dugilo, DAR ES SALAAM Chemba ya wafanyabiashara wanawake Tanzania (TWCC) imeishukiru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia

Mwenyekiti wa Bodi ya EWURA Prof.Mark Mwandosya (kushoto) pamoja na wajumbe wa Bodi, Menejimenti na watumishi wa EWURA na TGDC,wakishuhudia Mkurugenzi Mkuu wa TGDC

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent L. Bashungwa (Mb) amewasili na kupokelewa katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi mara baada

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza mipango ya kuzindua Mfumo wa Kidigitali wa Utatuzi wa Malalamiko ya Wananchi (FCRS) ifikapo