Ileje. Wazazi na walezi mkoani Songwe wameonywa kumalizana kindugu juu ya Kesi za ukatili wa kijinsia kwa watoto, ili wahusika wanaotekeleza vitendo hivyo wachukuliwe hatua
Month: December 2024
Makamu Mkuu wa Chuo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Prof. Lughano Kusiluka akizungumza kwenye uzinduzi wa kozi fupi ya Ufuatiliaji na Tathmini ya miradi
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk. Mohamed Said Dimwa, amemtembelea na kumjulia hali yake Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Serikali imesisitiza dhamira yake ya kuchukua hatua kali dhidi ya taasisi za fedha zinazotoa mikopo ya “umiza” yenye riba kubwa
Dar es Salaam. Kama wewe ni fundi wa ujenzi au umeme na hadi sasa unakula msoto wa kukosa ajira, fursa hii inakuhusu kuhakikisha unapata kazi
Na Safina Sarwatt, Moshi Zaidi ya wanafunzi 1,000 kutoka familia zenye mazingira duni wamefaidika na mpango wa ufadhili wa masomo ulioanzishwa na Kiwanda cha Sukari
Dar es Salaam. Dk Zelothe, ni daktari bingwa wa mifupa na majeraha wa kike mwenye umri mdogo zaidi nchini Tanzania, ni kielelezo cha uvumilivu, bidii
WATUMISHI wa Tume ya Ushindani (FCC) wameanza mafunzo ya Kuchakata Takwimu kwa kutumia Excel katika Chuo cha Takwimu lengo likiwa kuwajengea uwezo katika kurahisisha
Marekani. Hadithi ya Medard Kaiza inafanana na muswada wa filamu ya Hollywood; nafasi yake ya kufika kileleni katika uwanja wa sayansi, akiwa bega kwa bega
KOCHA wa zamani wa Simba, Abelhak Benchikha ametaja makosa matatu ambayo Simba na Yanga zinapaswa kuyafanyia kazi kwa haraka kama wanataka kutoboa kimataifa. “Kosa la