Dar es Salaam. Tanzania imesaini mkataba wa Euro 39.9 milioni (sawa na zaidi ya Sh109.83 bilioni) na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD), kwa ajili
Month: December 2024
SERIKALI imedhamiria kujenga misingi shindani na endelevu yenye ubora wa utoaji wa huduma wenye kuwezesha biashara nchini kwa kuzingatia jiografia na rasilimali watu kwa kupitia
Mbeya. Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Mbeya, limetakiwa kuwafungia leseni madereva wa magari ya Serikali wanaokiuka sheria za usalama barabarani. Pia, limekumbushwa
Unguja. Ili kuweka usawa wa kijinsia katika nyanja mbalimbali ndani ya vyama vya siasa Zanzibar, imezinduliwa sera ya jinsia ya mfano, inayopendekezwa kwa vyama vya
Moshi. Mzee Isaac Malya (72), aliyeuawa kwa kupigwa na kitu kizito nyumbani kwake, amezikwa, huku Paroko wa Parokia Teule ya Kifuni, Padre Thomas Tingo akionya
Dar es Salaam. Utata umeibuka kuhusu kifo cha aliyekuwa mfamasia katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke, Magdalena Kaduma. Taarifa kuhusu kifo chake zimetolewa
Tabora. Mwili wa Mery Nassoro aliyefariki Desemba 5,2024 akiwa chumbani pamoja na mwanajeshi mstaafu, Petro Masali umezikwa leo kwenye makaburi ya Kanisa la Roman katoliki
Dar es Salaam. Mwishoni mwa mwaka hushuhudiwa mabadiliko makubwa katika mifumo ya usafiri kutokana na ongezeko la watu wanaosafiri kwa ajili ya shughuli za sikukuu,
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC)Nahodha Mussa Mandia akizungumza na wananchi na wavuvi katika Mwalo wa Njambe katika
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia kesi na kuwaachia huru watu 10 wakiwemo wafanyakazi wa benki ya NBC na Habib African, waliokuwa