Na Mwandishi Wetu, Zanzibar. Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) kimempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi, kwa kutunukiwa Shahada
Month: December 2024
USHINDI mtamu buana asikuambie mtu. Saa chache baada ya Namungo kupata ushindi wa mabao 2-1 na kutinga hatua ya 32 Bora ya Kombe la Shirikisho
Na Mwandishi Wetu, Mwananchi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amesema serikali itaendelea kushirikiana na wafanyabiashara na wawekezaji kutatua changamoto mbalimbali
Dar es Salaam. Sheria ya Fedha za Serikali za Mitaa (Sura ya 290) ya mwaka 1982, inatoa mamlaka kwa halmashauri za wilaya, manispaa au miji
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar. Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dkt. Mohamed Said Dimwa, ametoa uchambuzi wa kina kuhusu ushindi mkubwa wa
Dar es Salaam. Ikifika saa 4 usiku leo, wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga watakuwa uwanjani kuvaana na MC Alger
Morogoro. Mwanamke mmoja, Unna Martini (70) amenusurika kifo baada ya kukatwa panga kichwani na sehemu nyingine za mwili na mtoto wake wa kumzaa, Elias Paulo,
Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la Kimataifa la Dawa za Kulevya na Masuala ya Sheria (INL), imetoa pongezi kwa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa
Mashahidi 30 akiwemo, Kocha Seleman Matola (45) wanatarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroini zenye uzito kilo 34.89 inayomkabili
Mwanza. “Tangu nimeanza kupanda miti mwaka 1959 nikiwa darasa la kwanza mpaka sasa nimepanda zaidi ya miti 1,700,000 kiasi kwamba sasa kila ninapokwenda huwa nakutana