Mhandisi James Jumbe (katikati) akizungumza wakati akikabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha Shinyanga Society Orphanage Centre.
Month: December 2024
Dar es Salaam. Wito umetolewa kwa jamii kuwasadia watu wenye mahitaji maalumu ili nao washerehekee mwaka mpya kwa furaha. Hayo yamelezwa leo Desemba 31, 2024
Morogoro/Mwanza/Arusha. Wakati zimesalia saa chache kuumaliza mwaka 2024 na kuingia mwaka mpya wa 2025, makamanda wa polisi wa mikoa, wamepiga marufuku uchomaji moto matairi, kupiga
Dodoma. Wakati zimebaki saa chache kumalizika kwa mwaka 2024, Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imetangaza mipango yake ya kuwekeza katika teknolojia ya upasuaji wa kutumia
Dar es Salaam. Baadhi ya wakazi wa Mkuranga mkoani Pwani wametaka kuongezwa kasi ya kuboresha ujenzi wa barabara ndani za jimbo upatikanaji wa huduma za
Mtama. Rais Samia Suluhu Hassan ametekeleza ahadi yake ya kugawa miche 500,000 ya minazi kwa wakulima wa mikoa ya Lindi na Mtwara. Katika miche hiyo,
iDar es Salaam. Wakati msimu wa wanafunzi kurudi shuleni ukikaribia, jamii imeaswa kuwakumbuka watoto wanaoshi katika mazingira magumu ili wapate vifaa vya shule kama wanavyopata
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Samia Suluhu Hassan ametoa msaada kwa watu wenye uhitaji kwenye kituo cha walemavu Amani Kilichopo Chamwino Manispaa
Dar es Salaam. Serikali imeeleza kuwa upelelezi wa kesi ya kusafirisha kilo 332 za heroini na methamphetamine inayomkabili mvuvi Ally Ally (28) maarufu kama Kabaisa
MFUKO wa Serikali ya Zanzibar umenufaika kwa kupata kiasi cha Sh. 3 bilioni zikiwa ni thamani ya mali mbalimbali zilizotaifishwa kwa kuhusishwa na biashara