Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange(Mb) amesema ujenzj wa soko kuu la mazao
Month: December 2024
Mwamvua Mwinyi, Pwani 6,disemba,2024 Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ameitaka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Pwani kuchukua hatua za kisheria
Na. Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Tax,amewatunuku jumla
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, ametoa ahadi ya kutoa mwelekeo kwa wanasheria wote nchini ili kuhakikisha wanatoa huduma za
Desemba 5, 2024 Mkoa wa Pwani umeidhinishiwa jumla ya shilingi bilioni 413 kwa ajili ya mwaka wa fedha 2024/2025. Akitoa taarifa ya bajeti na
Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Nickson Simon, ameishukuru Serikali kwa kuipatia Halmashauri ya Kibaha Mji kiasi cha sh. bilioni 8 kwa ajili ya ujenzi
Na Mwamvua Mwinyi, Chalinze 5, Disemba,2024 Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kipolisi Chalinze, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Sophia Lydenge, ameongoza askari wa kike
Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu, Dk Doto Biteko amevitaka vyama vya kisekta ikiwemo Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) kuepuka migogoro ya
Na Mwandishi Wetu SPIKA mstaafu Anne Makinda ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kairuki amependekeza zifanyike tafiti kujua sababu za watoto wengi
Dodoma. Serikali imetangaza kusudio la kutwaa eneo la mita za mraba 233,000 katika Manispaa za Kinondoni na Ubungo jijini Dar es Salaam. Eneo hilo imeelezwa