Na Mwandishi wetu, Mpapura Afisa Tarafa Mpapura Emmanuel Shilatu amewapongeza Walimu, Wanafunzi na Wazazi kwa jitihada kubwa wanazoweka zinazopelekea kupata mafanikio makubwa ya ufaulu. Pongezi
Month: December 2024
CHAMA Cha Soka la Wanawake Mkoa wa Arusha (ARWFA) linaendelea na mikakati ya kuhakikisha wanainyanyua tena mchezo huo kuanzia ngazi ya chini wakiamini itasaidia tena
SPIKA mstaafu Anne Makinda ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kairuki amependekeza zifanyike tafiti kujua sababu za watoto wengi wa kiume kuachwa
Mwanza. Zaidi ya watoto wachanga 1,452 walifariki dunia mwaka 2023 mkoani Mwanza huku sababu ya kukosa hewa na maambukizi, zikitajwa kuchangia vifo hivyo. Akizungumza Novemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali yake Mzee wa Chama Cha Mapinduzi Haji Machano
YUSUPH Kagoma ndilo jina linalotajwa sana kwenye mitandao ya kijamii hivi sasa na hii ni baada ya staa huyo wa Simba kufuta utambulisho wake na
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi linamshikilia dereva aliyepiga kelele akidai anatekwa kwenye tukio lililosababisha wananchi kuwajeruhi watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Tukio
BONDIA wa ngumi za kulipwa, Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’ amemtangazia vita mpinzani wake ajipange kuelekea pambano katika pambano la ‘Tagi la Mama Samia’ litakalofanyika Desemba
Yanga itacheza mchezo wa pili wa makundi ya Klabu Bingwa Afrika kesho Desemba 7, 2024 dhidi ya MC Alger kwenye uwanja wa Julai5, 1962 huku
Dar es Salaam. Mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroini, Kambi Zuber Seif na wenzake, wamedai kuteswa na kudhalilishwa