Licha ya changamoto kubwa, alipata matumaini na uthabiti katika hadithi zao. Takriban miezi 19 ya mzozo usiokoma nchini Sudan umeharibu mamilioni ya watu, huku watoto
Month: December 2024
“Mnamo tarehe 9 Juni, nilitangaza kulivunja bunge. Kwangu, uamuzi huo ulikuwa hauepukiki. Kwanza, kwa kuwa uchaguzi wa bunge la Ulaya ulikiweka chama cha Rassemblement National
Ufadhili huo utatumika kutoa huduma za afya ya uzazi zinazookoa maisha na programu muhimu za kuzuia unyanyasaji wa kijinsia kwa zaidi ya watu milioni 45.
Dar es Salaam. Wakati nchi za Afrika zikijivunia kuwa na wingi wa rasilimali ikiwemo ardhi, gesi, mafuta na madini, imeelezwa kuwa endapo hautafanyika uwekezaji wa
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo, Abdul Nondo amesema licha ya afya yake kuendelea kuimarika, lakini bado anasikia maumivu sehemu
Dar es Salaam. Mtanzania Diana Laizer ametunukiwa udaktari wa heshima na Chuo cha Oxford Club Awards huko London nchini Uingereza kutokana na mchango wake kwenye
-Ataka uzalendo zaidi sambamba na utekelezaji wa Ilani ya CCM Na Mwandishi Maalum, Dar es Salaam Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee John
Dodoma. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umeondoa ulazima kwa shule na vyuo kusajili wanafunzi 100 katika mchakato wa kupatiwa bima ya afya,
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewaachia huru watu watano wakiwemo waliokuwa askari Polisi, waliyokuwa wanakabiliwa na shtaka la unyang’anyi wa kutumia silaha
Dar es Salaam. Jeshi Polisi nchini, linafanya uchunguzi wa kubaini kilichomfanya Wakili Alphonce Lusako, kukimbia na kujirekodi sauti aliyoituma kwenye mitandao ya kijamii, wakati askari