Rombo. Baadhi ya wanawake katika vijiji vitatu vya Samanga, Kirongo juu na Sangasa, wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wameeleza tishio la nyani wilayani humo linavyowaogopesha
Month: December 2024
UJENZI wa maabara tatu za Sayansi katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Kakonko, Kigoma, umeleta hamasa kubwa ya kitaaluma kutokana na kuboresha mazingira ya kujifunza
Dar es Salaam. Licha ya kuwa Yanga na Simba wana vibarua tofauti na vigumu vya kufanya katika michezo yao ya pili ya kimataifa wakiwa ugenini
Katavi. Askari wawili wa Hifadhi ya Taifa (Tanapa) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumshambulia kwa risasi hadi kumuua Gimbagu Lengu Mandagu (25)
Na Happiness Shayo – Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa namna mshtakiwa Kambi Zuberi Seif, alivyokamatwa akitoroka kwenda nchini Kenya kupitia mpaka wa Horohoro, uliopo mkoani Tanga. Kambi aliye mmiliki
Na Humphrey Shao, Michuzi Tv MADAKTARI tari wa Tanzania wamerejea nchini baada ya kuhitimisha Kambi tiba nchini Comoro kwa kutoa huduma kwa wagonjwa 2,770
Droo ya mashindano mapya ya kombe la Dunia kwa ngazi ya Klabu itafanyika leo Marekani ambapo jumla ya timu 32 zitagawanywa kwenye makundi nane ya
Kampuni ya MMI Integrated Steel Mills Ltd imeipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa kuweka mazingira mazuri ya
Klabu ya Yanga imeweka kambi kwenye hoteli ya kifahari ya The Legacy Luxury iliyopo Hydra, Algiers, Algeria, ikiwa sehemu ya maandalizi ya mechi yao ya