WAKATI serikali ikiendelea kuikuza sekta ya Sayansi na Teknolojia imesema panahitajika nguvu zaidi kutengeneza wataalam watakaoziendeleza rasilimali za taifa. Anaripoti Faki Sosi, Dar es
Month: December 2024
Kwa usiku wa saba mfululizo maelfu ya raia wa Georgia ambao ni wafuasi wa Umoja wa Ulaya wanaandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Tbilisi
Christian Thierfelder, Mwanasayansi Mkuu katika CIMMYT, akipiga picha katika uwanja ambao unajaribiwa kwa kilimo hifadhi katika Kituo cha Utafiti cha Henderson, Harare, Zimbabwe. Credit, Busani
Dar es Salaam. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemtaka Mshauri elekezi Dohwa Engineering kampuni ya Korea anayesimamia miradi mikubwa ya ujenzi wa mfumo ya Majitaka
Timu ya maafande wa JKT imevunja ukame wa miaka saba baada ya kuibeba ubingwa wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (DB), kwa
Dar es Salaam. Wadau wa Nishati Safi ya kupikia nchini Tanzania, wameitaka Serikali kutunga sera ili kuwabana wanaoingiza vifaa visivyo na ubora kwa matumizi mbalimbali
Na Farida Mangube, Morogoro . Katika kuadhimisha siku ya udongo Duniani Idara ya Sayansi za Udongo na Jiolojia ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe.Dkt. Doto Biteko amewaasa wahasibu barani Afrika kuisimamia taaluma yao kikamilifu ili kuendeleza umuhimu na mchango na ukuaji
Mbeya. Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia (Must), Kampasi ya Mbeya kimeanza mikakati ya kutenga maeneo kwa ajili ya kufanya tafiti za kisayansi na bunifu
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda amesema Uwekezaji uliofanywa katika Bandari ya Dar es Salaam na Kampuni za DP World