Sekta ya madini nchini Tanzania kwa mwaka 2023/2024, makusanyo yameongezeka kwa asilimia 300 kufikia shilingi bilioni 700 kutoka bilioni 161 mwaka 2021. Ongezeko hili linaonyesha
Month: December 2024
Mwenyekiti Mpya wa MISA- TAN Edwin Soko Mwenyekiti Mpya wa MISA- TAN Edwin Soko Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Vyama vya siasa, taasisi za Serikali na jamii zimetakiwa kuondoa vikwazo vinavyowazuia watu wenye ulemavu kushiriki katika nafasi za uongozi
Karagwe. Mili ya watu sita kati ya saba waliofariki dunia kwa ajali iliyohusisha magari matatu katika Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera imetambuliwa na ndugu na
NYAKATI ngumu wakati mwingine zinaweza zikabadili tatizo na kugeuka fursa, ndivyo anavyosimulia mshambuliaji wa Kagera Sugar, Tariq Seif anayeshuhudia kupitia kudharauka alipata nafasi ya kucheza
KIUNGO Mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema ushindi mfululizo wanaouwapa unawajengea morali nzuri na kuhusu suala la kutupia atafanya hivyo kila akipata
Klabu za Simba, Yanga na Azam zimepata fursa ya kucheza mechi za kirafiki na klabu za Ligi Kuu ya Russia, pamoja na kuweka kambi katika
Mahakama ya Kimataifa ya Haki inasikiliza siku 10 za ushahidi ili kutoa maoni ya ushauri juu ya majukumu ya mabadiliko ya hali ya hewa. Credit:
Golikipa wa Simba, Hussein Abel amesafiri jana usiku kuelekea Algeria kuchukua nafasi ya Aishi Manula aliyekwama Dar es Salaam. Uamuzi huo umechukuliwa baada ya Manula
Moshi. Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza timu ya wataalamu udhibiti ubora kwenda kuchunguza taarifa ya wanafunzi 14 wa Shule ya