Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unashiriki katika Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati 2024 unaofanyika jijini Arusha ambapo
Month: December 2024
Na Mwamvua Mwinyi, KibahaDisemba 3, 2024 Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Nickson Simon, ameishukuru Serikali kwa kuipatia Halmashauri ya Kibaha Mji kiasi cha sh. bilioni
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) kituo cha TARI Tengeru iko hatua za mwisho za usajili wa Mbegu mpya bora aina 19 za mbogamboga
Katika jitihada zake za kuimarisha utunzaji wa mazingira nakukuza elimu ya uhifadhi wa taka kwa wanafunzi wa shule za msingi, Taasisi ya GSM Foundation imetoa
Mshindi wa shindano la Mama lishe msimu wa tano na mwanafunzi wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo Stadi (VETA) Neema Mwang’onda amewaasa Wanawake wanaojishughulisha na
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Prof. Lugano Kusiluka,akizungumza wa kongamano la 15 la Wahitimu wa Chuo hicho,hafla iliyoanza leo Disemba 4
Aliendelea na kusisitiza kuwa ushirikiano wa CCM na CPC utaleta manufaa kwa maendeleo ya Zanzibar na Tanzania kwa ujumla. “CCM itaendeleza na kusimamia kikamilifu mahusiano
MBUNGE wa Jimbo la Segerea Bonnah Kamoli, amesema yuko tayari kutoa fedha zake kugharamia uondoaji mawe makubwa yaliyotumika na mfanyabiashara mmoja anayemiliki kituo cha mafuta
Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba (Mb) amemtaka Mkandarasi na Mtaalamu Mshauri anayetekeleza Mkataba wa Ujenzi wa miundombinu inayoratibiwa na mradi
Rais wa Marekani Joe Biden yuko nchini Angola katika siku yake ya mwisho ya ziara ya siku tatu na ameutembelea mradi mkubwa wa miundombinu ya reli unaofadhiliwa