Dar es Salaam. Serikali inaendelea na upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya (40) maarufu Dk
Month: December 2024
Dar es Salaam. Siku 23 tangu video za jaribio la kutaka kumteka Deogratius Tarimo, mkazi wa Kiluvya jijini Dar es Salaam zisambae, hatimaye Jeshi la
Unguja. Mwenyekiti wa Chama cha ACT- Wazalendo Taifa, Othman Masoud, amesema ni wajibu kwa wananchi wa Zanzibar kuonyesha mshikamano katika kupigania haki zao za msingi,
MERIDIANBET imezindua promosheni ya kipekee ya Mwezi wa Pesa, ambayo inaleta furaha ya msimu wa sikukuu kwa wachezaji. Promosheni hii, itakayodumu kuanzia Desemba 1 hadi
Musoma. Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara kinatarajia kutumia zaidi ya Sh860 milioni kwenye ujenzi wa ukumbi wa kisasa utakaokuwa na uwezo wa kuchukua
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu, na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe. Mama Mariam Mwinyi amesema
Mbeya. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha
MCHEZO kati ya klabu ya Arsenal dhidi ya Manchester United ni mchezo wenye historia kubwa kwenye soka la Uingereza, Ambapo leo utakwenda kuchezwa pale katika
ALIYEKUWA kocha mkuu wa Singida Black Stars, Patrick Aussems amemtaja mshambuliaji wa Kenya, Elvis Rupia kuwa mmoja wa washambuliaji hatari katika Ligi Kuu Bara kwa
Unguja. Serikali imesema kumeibuka wimbi la matumizi mabaya ya fedha (noti) katika shughuli za kijamii, hususani kwenye sherehe za harusi ambako watu hutunza wahusika kwa