RAIS Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Elimu la Kimataifa (GPE) ameongoza vikao vya bodi ya taasisi hiyo leo
Month: December 2024
KIPA wa Simba, Aishi Manura ameshindwa kuendelea na safari baada ya kupata shida ya kiafya muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kwenda nchini Algeria.
Mazungumzo kuhusu utawala wa baadaye wa ukame duniani yalianza katika UNCCD COP16 huko Riyadh, Saudi Arabia Desemba 2-13. Maoni na Simone Galimberti (kathmandu, nepal) Jumatano,
Dar es Salaam. Wakati dunia ikiadhimisha siku 16 za kupinga ukatili, kundi la watoto wa kiume limetajwa kuwa hatarini kukumbwa na majanga ya ukatili ukiwemo
Shenzhen, China: Kampuni ya Huawei kwa mara nyingine tena imedhihirisha dhamira yake ya kuwawezesha vijana wenye vipaji katika nyanja za Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati
WAKATI Simba alfajiri ya leo ikiondoka kwenda Algeria, kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Jean Charles Ahoua ameonekana kumkosha zaidi kocha Fadlu Davids kutokana na mchango
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia Subira John (25), mkazi wa Mtendeni, Kilosa kwa tuhuma za kumfukia shimoni mtoto wake na kumtelekeza muda mfupi baada
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa,akizungumza na Viongozi Wandamizi wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) waliofika Ofisini kwake
UONGOZI wa KMC kupitia kwa ofisa mtendaji mkuu wa kikosi hicho, Daniel Mwakasungula umeeleza sababu za kukosekana kwa kocha mkuu wa timu hiyo, Kali Ongala
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili kwa tuhuma za mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Tawi la Machinjioni