Akihutubia Bunge lenye wajumbe 193, Rais Philémon Yang alisisitiza umuhimu wa suluhisho la Serikali mbili. kuiita njia pekee ya amani ya kudumu. “Baada ya zaidi
Month: December 2024
Tume ya Uchaguzi ya Namibia ECN, usiku wa kuamkia Jumatano ilitangaza kuwa Makamu wa Rais Netumbo Nandi-Ndaitwah, ameshinda kwa zaidi ya asilimia 57 ya kura
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 4, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti
HII inaweza kuwa habari njema kwa Yanga baada ya taarifa kutoka Algeria kubainisha kwamba mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika Kundi A dhidi ya
Rosemary DiCarlo, Naibu Katibu Mkuu wa Masuala ya Siasa na Ujenzi wa Amani, alikuwa akizungumza wakati wa mdahalo juu ya kuwekeza katika nguvu ya mabadiliko
Dar es Salaam. Kupungua mifugo inayopelekwa sokoni, madai ya kuwapo wanunuzi kutoka nje ya nchi katika minada ya awali na ongezeko la mahitaji ya nyama
Dar es Salaam. Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, imemhukumu Justo William (31) kutumikia kifungo cha nje cha miezi minne baada ya kupatikana na hatia ya kuiba
-Kila Wilaya kupata majiko 3,255 -RC Mara ahamasisha wananchi kuchangamkia fursa Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatarajia kusambaza majiko ya gesi (LPG) ya
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo(Mb) akitembelea Kiwanda cha Vioo cha KEDA ili kuona shughuli za uzalishaji wa Vioo katika kiwanda hicho kilichopo
Ibrahim Thiaw, Katibu Mtendaji wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na Kuenea kwa Jangwa (UNCCD) alikuwa akizungumza katika ufunguzi wa COP16 mkutano mkubwa